Chelsea ya umri chini ya miaka 18 (Chelsea U18s) wanategemewa kukipiga na Tottenham U18s katika kombe la FA katika hatua ya nusu fainali ambapo walimpiga Newcastle U18s katika hatua ya robo fainali kwa mabao 5-3.
Nusu fainali nyengine itakuwa ni kati ya Man city U18s dhidi ya Stoke city U18s.
Chelsea U18s ndo itaanzia ugenini kwa Tottenham kisha baadae kukiputa kwa The Blues U18s
Mpaka sasa tarehe hazijapangwa kwa michezo hiyo kufanyika....
No comments:
Post a Comment