Wednesday, 1 March 2017

Thibaut bado kinara Ulaya

Thibaut Courtois ambaye ni mlinda mlango bora mpaka sasa katika ligi bora 5 za Ulaya.

Courtois mpaka sasa ndie kipa ambaye hajaruhusu kufungwa goli hata moja katika mechi 13 akiwa ndiye kipa pekee katika ligi kuu bora 5 za Ulaya ambazo ni ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Premier League, ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1, ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A na ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.