Wednesday, 1 March 2017

Antonio Conte kung'atuka Chelsea

Kocha wa Chelsea ambaye ameipa mafanikio Chelsea kwa msimu huu wa 2016-2017 mwenye uraia wa Italia, Antonio Conte ametajwa na kujiunga na Inter Milan ambapo anatarajiwa kupokea €15milioni (euro milioni 15)

Chanzo ni gazeti la Tuttosport

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.