Hakan Calhanoglu ambaye amekuwa akitajwa na Chelsea kama anawaniwa ili kutua Darajani anatarajiwa kuuzwa muda wowote. Wakala wa mchezaji huyo amesema Calhanoglu hana muda mrefu wa kuendelea kubaki kwenye klabu yake ya sasa ya Bayer Leverkusen.
Mchezaji huyo ambaye amefungiwa kuendelea kucheza soka kwa muda wa miezi minne na chama cha soka duniani cha FIFA baada ya kutokea mkanganyiko kati ya mchezaji huyo na klabu ya Trabzonspor ambayo ilidai kwamba iliwai kumsajili na mchezaji huyo na akasaini nao mkataba lakini baada ya kupata ofa nyengine ya kusajiliwa na klabu nyengine akaachana na Trabzonspor na kuungana na timu nyengine wakati alishasaini na kwa maana hiyo akaonekana na makosa na kufungiwa kutokucheza soka kwa miezi minne iyo ikimaanisha msimu huu utaisha ye akiwa bado yupo nje akitumikia adhabu. Lakini pia anatakiwa kulipav£86,500 (paundi 86,500).
No comments:
Post a Comment