Chelsea ndio timu pekee katika ligi kuu ya Uingereza iliyotumia wachezaji wa akiba wote watatu kama sheria inavyosema kwamba kwa kila timu inatakiwa kutumia wachezaji wa akiba wasiozidi watatu kwa mchezo mmoja na Chelsea imefanya mabadiliko (substutions) mara 3 kwa kila mchezo katika michezo 26. Kwa maana hiyo imefanya mabadiliko mara 78.
No comments:
Post a Comment