Friday 10 February 2017

Willian afichua

Mchezaji matata wa Chelsea ambaye miezi kadhaa nyuma alimpoteza mama yake, Willian Borges amefichua kwamba alishawai kupata taarifa za Manchester utd kumtaka.

"Yah! niliwai kusikia kwamba Manchester utd wananihitaji. Nilifanya kazi nzuri na Mourinho ambaye kwa sasa yupo kule. Lakini tofauti na hapo sijasikia timu nyengine ikinihitaji"

Kwa sasa Willian ambaye ana umri wa miaka 28, amekuwa hana uhakika wa namba kwa 100% huku akiwa anabadilishana mara kwa mara na Pedro.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.