Friday 10 February 2017

Drogba mwalimu kwa Costa

Diego Costa ametoa kauli ambayo wengi hawakuwai kuifikiria au ata kuidhania. Kumbe Didier Drogba alikuwa anamfuza mengi Diego Costa wakati Drogba akiwa kwenye ubora wake.

Costa amethibitisha kwa kusema kati ya watu waliokuwa wanamvutia na aliokuwa anawafatilia mmojawapo pia alikuwa ni Drogba.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.