Timu ya Chelsea imetajwa kuwa katika mbio za kumuwania kiungo wa AS Monaco ya nchini Ufaransa, Thomas Lemar. Mchezaji huyo pia anatakiwa na Manchester city pamoja na Atletico Madrid.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment