Moja kati ya wachezaji bora kuwai kutokea ndani ya Chelsea, Floyd Hasselbaik alipohojiwa kuhusu mwenendo wa Chelsea alisema
"naamini wapo kwenye kiwango bora, na pia naamini wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. Wameshinda michezo 13 mfululizo. Ni jambo zuri kwao na pia ni jambo zuri kwa timu inayowania ubingwa"
Floyd ni mmoja kati ya wachezaji bora waliowai kuwepo ndani ya Chelsea, na pia anajumuishwa kama mmoja ya malegend wa Chelsea.
No comments:
Post a Comment