Chukua hiyooo....
Chelsea FC ndio timu iliyowai kufunga magoli mengi katika msimu mmoja katika klabu zote za Uingereza.
Ilikuwa msimu wa 2005-06 ndipo Chelsea FC ilimaliza ligi kama bingwa ikiwa imefunga magoli 108 na kuruhusu magoli 15 tu record ambayo ni timu moja tu kuwai kuruhusu magoli machache ndani ya msimu mmoja.
No comments:
Post a Comment