Mchezo wa robo fainali ya kombe la FA kati ya Chelsea na Man utd uliopangwa kuchezeka kwa hatua ya robo fainali ambao ulikuwa bado haujapangiwa ratiba ya kuchezeka lini na muda gani hatimaye ratiba na muda kamili umetolewa na FA ambacho ni chama cha soka cha Uingereza.
Chelsea na Man utd katika mchezo huo wa robo fainali zitamenyana tarehe 13-March-2017 katika mishale ya saa 22:45 katika dimba la Stamford Bridge.
Timu hizo mara ya mwisho kukutana, Chelsea alitoa kipigo cha paka mwizi kwa goli 4-0 mubashara.
No comments:
Post a Comment