Chelsea imetajwa kuvutiwa na beki wa Barcelona ambaye pia ana uwezo wa kucheza kama winga wa kulia, Aleix Vidal.
Aleix ambaye kwa sasa ni majeruhi ya ankle ambapo msimu huu atautumia akiwa anauguza jeraha lake amekuwa akimvutia Conte ambaye amesema anamtaka mtu wa kumpa challenge Victor Moses.
No comments:
Post a Comment