Kumekuwa na habari zilizothibitishwa kwamba Diego Costa anatarajiwa kusaini mkataba mpya ndani ya Chelsea. Mkataba huo ambao ni wa miaka 5 utamweka Chelsea mpaka mwaka 2023 ambapo pia mshahara wake utaongezeka na kufikia £22,000 kwa wiki (paundi 22000 kwa wiki)
No comments:
Post a Comment