Antonio Conte ametoa neno kuhusu mustakabali wa mchezaji wake, Mitchy Batshuayi baada ya mchezaji huyo kushindwa kabisa kupata namba kwenye kikosi cha kwanza.
"lengo la timu ni kucheza ili kupata matokeo mazuri na sio kumfurahisha mchezaji" alisema Conte
Batshuayi ambaye alisajiliwa na Chelsea akitokea Olympique Marseille ameonekana kupata tabu sana kumpindua mchezaji anayecheza naye nafasi moja, mshambuliaji Diego Costa.
No comments:
Post a Comment