Sunday, 19 February 2017

FA Cup; Chelsea vs Man utd

Ni Chelsea dhidi ya Man utd katika robo fainali ya FA Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kati ya tarehe 11 au 12 ya mwezi wa March mwaka 2017.

Chelsea wamefuzu kuingia hatua iyo baada ya kupata ushindi dhidi ya Wolves wa bao 2-0 hapo Jumamosi mabao ya Pedro na Diego Costa na huku Man utd akifuzu baada ya kupata ushindi wakitokea nyuma kwa kumfunga Blackburn magoli 2-1 magoli yaliyofungwa na Rashford na Ibrahimovic.

Mara ya mwisho Chelsea kukutana na Man utd katika mchezo wa ligi kuu Uingereza, Chelsea walitoka kifua mbele kwa mabao 4-0.

Je ni Conte kwa mara nyengine au Mourinho atalipiza?

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.