Paul Scholes ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester utd ametoa mtazamo wako jinsi msimamo wa ligi kuu mpaka mwisho wa msimu utakavyokuwa.
Alisema mpaka mwisho wa msimu Chelsea atamaliza kama bingwa wakati Manchester city akiwa namba mbili huku akifatiwa na jirani yake ambaye ni Manchester utd ambaye atakuwa namba tatu na kwa upande wa nafasi ya nne ipo wazi kwa yeyote kati ya Arsenal au Liverpool.
Scholes ni mmoja kati ya watu wenye heshima kubwa klabuni Manchester city lakini pia pamoja na timu yake ya taifa ya England.
No comments:
Post a Comment