Thursday, 16 February 2017

Clattenburg atandika daruga

Unamkumbuka yule refa aliyewapa Ivanovic na Torres katika mchezo dhidi ya Man utd mpaka tukapoteza? Anaitwa Mark Clattenburg.

Sasa jamaa kwa sasa ana miaka 41 na ametangaza kuachana kuamua soka la Uingereza kabla ya round inayofata yaani kabla ya tarehe 25 ya mwezi February. Akilalamikia kukosa support.

Nimekuwekea video ya mchezo huo highlights zake tulipopata hizo kadi nyekundu mbili. Ingia kwenye file la Videos utaikuta, ujikumbushe alivyotuua.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.