Chukua hiyoooo.....
Je unajua Chelsea FC ndio timu pekee katika jiji la London ambalo ndilo lina timu nyingi zinazocheza ligi kubwa pale Uingereza timu kama Arsenal, Tottenham, West Ham, Watford, Fulham na nyengine nyingi lakini Chelsea ndio timu pekee katika jiji hilo kuwai kubeba kombe la Uefa Ueropa cup.
No comments:
Post a Comment