Friday, 17 February 2017

Video; Makelele katika ubora wake

Mtandao wa Chelsea FC Live news uliandaa kama uchaguzi flani wa kupiga kura je ni nani aliwai kuwa kiungo mkabaji bora wa Chelsea kwa muda wote.

Kura zilizopigwa ni 13731 na Claud Makelele amekuwa mshindi kwa 41% na N'golo Kante akawa wapili akipata 40% huku Michael Essien akiwa watatu.

Hapa nimekuwekea video yake umwangalie ufundi wake.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.