Unakumbuka usajili wa Eden Hazard ulivyofanyika kutokea Lille kuja Chelsea mwaka 2013? Unakumbuka pia baada ya muda Chelsea ikamsajili mdogo wa nyota huyo, Thorgan Hazard? ambaye kwa sasa anaichezea Borussia Mönchengladbach? sasa kuna Hazard mwengine amesajiliwa.
Anaitwa Kylian Hazard mwenye miaka 22 ambaye amesajiliwa akitazamiwa kujiunga ktika skauti ya kukuza vipaji ya Chelsea. Msimu uliopita aliichezea klabu moja nchini Hungary ambapo huko alicheza michezo 35 na kufunga magoli 4. Karibu Hazard mtoto utupe ubingwa kama kaka yako.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment