Alex Chamberlain alikataa kusaini klabuni Arsenal tangu wakati timu hiyo ilipokuwa barani Asia kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya na alishawekea fungu na Chelsea ambayo pia imekuwa ikiwafukuzia kwa karibu raia wa Uingereza ambao wengine ni kama Danny Drinkwater na Jamie Vardy wote wa Leicester na Ross Barkley wa Everton.
No comments:
Post a Comment