Huku mzee Arsene Wenger akisema huu hautokuwa mchezo wa kirafiki kama unavyoitwa kwa maana klabu hizo zina ushindani mkubwa kwa vile zinawania mataji kwa karibu lakini pia zina utani unaochochewa na mahali timu hizo mbili zinapotokea. Zote ni klabu za jiji la London.
Chelsea itaingia uwanjani ikikosa huduma za ota wake watatu ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa Uingereza, ambao ni Eden Hazard aliyepata majeraha akiwa kwenye majukumu ya timu ya taifa. Wengine ni Diego Costa na Nemanja Matic ambao wote hawakujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji watakaosafiri kujiandaa na msimu mpya kutokana na kuhusishwa na uhamisho.
Vikosi vyote kwa pande mbili (Chelsea vs Arsenal)
Chelsea (3-4-3): Courtois | Azpilicueta, Luiz, Cahill | Moses, Kante, Fabregas, Alonso | Willian, Batshuayi, Pedro
Substitutes from: Caballero, Eduardo, Clarke-Salter, Tomori, Christensen, Kalas, Scott, Baker, Boga, Pasalic, Remy
Arsenal
Substitutes from: Nelson, Malen, Willock, Martinez, Nketiah, Welbeck, Coquelin, El Neny, Bielik, Koscielny, Kolasinac
No comments:
Post a Comment