Huenda mlinzi wa Chelsea, Kurt Zouma alajiunga na klabu ya Stoke city kwa mkopo.
Mchezaji amekuwa hana nafasi katika kikosi cha kwanza, huenda Zouma akajiunga na klabu ya Stoke city ambapo atakuwa huko kwa mkopo. Lakini kabla ya kutoka Chelsea huenda akasaini mkataba mpya.
Zouma alisajiliwa na Chelsea akitokea St.Etienne ya Ufaransa kabla ya kufanya vizuri chini ya Mourinho akiwa The Blues ambapo alipata majeraha yaliyomweka nje kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment