Sunday, 23 July 2017

Chelsea yakaribia kumvuta mwengine

Klabu ya Chelsea inakaribia kuvuta usajili mwengine baada ya kuwavuta nyota wanne mpaka sasa ambao ni Caballero, Rudiger, Bakayoko na Morata.

Chelsea imekaribia kumng'oa kinda kutoka Brazil katika klabu ya Fluminense, Richarlison. Inakaribia kumnasa kinda huyo aliyekuwa anawaniwa kwa karibu na vilabu kama AC Milan na Inter Milan za Italia.

Chelsea inaonekana kushinda vita hiyo ambapo imejichimbia maskauti wengi barani Amerika Kusini.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.