Tuesday, 11 July 2017

Bellotti ni chaguo sahihi

Mshambuliaji na nguli wa zamani wa Chelsea mwenye uraia wa Italia, Gianfranco Zola ametoa neno kuhusu nafasi ya ushambuliaji katika klabu hiyo aliowai kuichezea miaka ya 2000 katika nafasi hiyo hiyo ya ushambuliaji.
Zola amesema "nashangazwa, nilitegemea Chelsea ingekuwa imeshaenda Italia ili kufanya taratibu za kumsajili Bellotti (anayeichezea Torino ya Italia), naamini ni chaguo sahihi kwa Chelsea na inamuhitaji zaidi"
Lakini pia aliongezea kuhusu varangati la Diego Costa na klabu hiyo kumtaka Morata wa Real Madrid.
"Morata ni mchezaji mzuri lakini nadhani Costa ndie bora zaidi kuliko Morata" alisema mchezaji huyo ambaye aling'aa sana na klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.