Friday, 3 March 2017

Kante mchezaji bora London 2017

Kiungo mkabaji wa Chelsea achaguliwa kuwa mchezaji bora wa London kwa mwaka 2017 akiwashinda wapinzani wake aliokuwa nao katika kipengele cha Mchezaji bora kwa mwaka 2017 ambao ni mchezaji mwenzake wa Chelsea, Diego Costa, Alexis Sanchez wa Arsenal, Delle Alli na Danny Rose wote wa Tottenham.

Lakini pia Antonio Conte nae alichaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka 2017.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.