Tarehe kama ya leo (22-February) mwaka 1997 katika uwanja wa Stamford Bridge, Chelsea ilimenyana na Man utd na mchezo ulihudhuriwa na masgabiki 28324 na matokeo ya mchezo kuisha kwa sare ya 1-1.
Nimekuwekea hapa goli la Zola alilolifunga siku hiyo.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment