Kwa taarifa zilizozagaa mtandaoni Real Madrid wameonyesha wana nia ya dhati ili kumchukua winga wa Chelsea, Eden Hazard na wamefika mbali na kusema wapo tayari kumtoa Morata pamoja na pesa ili kumpata Hazard.
Rais wa timu hiyo matajiri wa Hispania, Fiorentino Perez na kocha wake Zinedine Zidane wanatajwa kuvutiwa na mchezaji huyo.
No comments:
Post a Comment