Kuelekea mchezo wa kombe la FA Cup kati ya Chelsea dhidi ya Wolves ambapo Chelsea itasafiri kwenda ugenini.
Hapa nimekuwekea mechi ya mwisho ya timu hizo kukutana ambaoi ilikuwa tarehe 25-09-2012 katika uwanja wa Chelsea wa Stamford Bridge na Chelsea kushinda 6-0.
Wafungaji wakiwa Cahill, Betrand, Mata, Mosses, Romeu na Toress.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment