Siku kama ya leo ya tarehe 18-February-1998 kocha wa Chelsea wa kipindi hicho ambaye pia aliwai kuwa mchezaji wa Chelsea, Gianluca Vialli aliiongoza Chelsea kama kocha kuisaidia kupata ushindi wake wa kwanza katika kombe la FA kwa kumpiga Arsenal mabao 3-1 na mmoja kati ya wafungaji wa magoli ya Chelsea alikuwa Paolo Di Matteo ambaye naye aliipatia Chelsea kombe lake la kwanza kubwa nje ya Uingereza, kombe la Uefa Champions mwaka 2012 alipochukua nafasi ya Andre Villas Boas (AVB).
No comments:
Post a Comment