Wednesday, 15 February 2017

Terry kwa Luiz

John Terry anaripotiwa kuwa sawa baada ya kupata maumivu ya ankle na kwa maana hiyo anategemewa kuchukua nafasi ya David Luiz siku ya jumamosi ambapo Chelsea itasafiri kwenda kumenyana na Wolves katika kombe la FA.

Wakati huohuo inatarajiwa Zouma pamoja na Nathan Ake kuchukua nafasi za Gary Cahill na Marcos Alonso katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.