Imeripotiwa mshambuliaji wa Inter Milan raia wa Croatia, Ivan Perisic ataenda kuangalia na maskauti wa Chelsea ili kuangalia kama kuna uwezekano wa kumsajili.
Perisic katika mwisho wa wiki atakuwa kibaruani ambapo timu yake ya Inter Milan itamenyana na AS Roma.
No comments:
Post a Comment