Wednesday 8 February 2017

Ni Burnley vs Chelsea

Kuelekea katika mchezo wa ligi kuu kati ya Burnley vs Chelsea nakuletea takwimu kuhusu mechi hii itakayochezwa tarehe 14/2/2017.

Mara ya kwanza timu hizi kukutana ilikuwa ni 08/11/1905 katika uwanja wa Chelsea ambapo ilikuwa ni mashindano ya ligi daraja la pili (division 2) ambapo mchezo huo uliisha kwa Chelsea kushinda kwa 1-0.

Mara yao ya mwisho kukutana Chelsea katika dimba la Stamford Bridge, mpira ulimalizika kwa Chelsea kushinda 3-0.

Na kwa takwimu zao mpaka sasa ni kwamba, wamekutana mara 93 na Chelsea wameshinda michezo 34 na kufungwa 37 huku wakitoka suluhu michezo 22. Kwa maana hiyo Burnley wanabebwa kwa historia.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.