Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa, Claude Makelele akiwa anatimiza miaka 44 toka kuzaliwa kwake mnamo tarehe 18-February-1973 ambapo kwa sasa ni kocha msaidizi kwa Paul Clement katika timu ya Swansea city.
Mpaka anastaafu soka mataji makubwa aliyoyabeba akiwa Chelsea na Real Madrid ni ligi kuu ya Uingereza mara 1, ligi kuu ya hispania mara 1 na kombe la klabu bingwa ya Ulaya (Uefa Champions) mara 1.
#HappyBirthday_Makelele44
No comments:
Post a Comment