Huenda hii hukuijua lakini leo ndo nakupa..
Katika ligi ya Uingereza nzima mlinzi aliepiga pasi nyingi mpaka sasa ni Cesar Azpilicueta Tanco.
Lakini pia mchezaji huyo ndie aliepiga pasi nyingi katika mechi moja kwa wiki iliyopita katika raundi ya 25. Katika mchezo ulioisha kwa suluhu ya 1-1, Azpilicueta Tanco alipiga pasi 103 kwa mchezo mmoja kuliko mchezaji yeyote.
No comments:
Post a Comment