Monday, 20 February 2017

Fabregas anaifanya Chelsea kuwa bora

Kocha wa zamani wa Chelsea, Glenn Hoddle amesema timu ya Chelsea inakuwa bora zaidi ikiwa Fabregas atakuwa ndani.

"naamini Chelsea ni timu bora, lakini inakuwa bora zaidi kama tu Fabregas atakuwa ndani" alisema kocha huyo.

Cesc Fabregas ambaye alikuwa ndie nyota wa mchezo katika mchezo wa kombe la FA kati ya Wolves dhidi ya Chelsea. Ambapo mchezo huo uliisha kwa Chelsea kupata ushindi wa 2-0 na kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali itakapochuana na Man utd kati ya tarehe 11 au 12 ya mwezi March.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.