Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Marcel Desailly anatajwa kuchukua nafasi ya kuiongoza timu ya taifa ya Ghana ambayo imetoka kuachana na kocha mwenye asili ya Israel, Avram Grant ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutokufanikiwa kufanya vizuri kwenye Afcon mwaka huu.
Lakini ikumbukwe Grant naye alishawai kuifundisha Chelsea basi kwa maana nyengine anatoka mtu wa Chelsea anaingia legend wa Chelsea.
No comments:
Post a Comment