Antonio Conte wakati anatua Chelsea alimtaka kipa wa zamani wa Chelsea, Carlo Cudicini kuwa ndie kocha wake msaidizi. Na amemsifu mchana wa leo kuwa anachangia mafanikio yake mpaka
"amekuwa mtu mzuri kwangu. Amekuwa akinielekeza mengi kuhusu timu maana yupo hapa muda mrefu kuzidi mimi, amekuwa akinifundisha pia kiingereza na wapi pakusema kipi. Amekuwa akionganisha timu vizuri katika vyumba vya kubadilishia nguo na hata tukiwa pamoja na timu. Najivunia kuwa naye.
Cudicini aliwai kuwa kipa wa Chelsea kabla ya kunyang'anywa namba na Petr Cech.
No comments:
Post a Comment