Klabu ya Chelsea imeingiza watu 7 katika tuzo za London Football Awards ambazo hii ndio itakuwa mara ya tatu kufanyika.
Katika vipengele tofauti tofauti imefanikiwa kuwaingiza watu kama Diego Costa, N'golo Kante, Thibaut Courtois pamoja na kocha Antonio Conte kwa Chelsea ya wanaume.
Wakati kwa timu ya wanawake ambayo siku ya jana ilitoka suluhu ya 2-2 na timu ya Sweden yenyewe imetoa wachezaji 3 watakaowania tunzo hizo katika vipengele mbalimbali.
No comments:
Post a Comment