Monday, 20 February 2017

Chelsea subirini kwa Silva

Makamu rais wa Monaco, Vadim Vasyliev ametoa neno kuhusu mchezaji anayezivutia timu nyingi barani ulaya haswa Chelsea, Bernardo Silva.

"ndiyo, tunajua ni mchezaji mzuri na timu nyingi zinamtaka lakini kwa sasa hatufikirii kuhusu usajili. Mimi, kocha na wachezaji wote tunawaza kuhusu msimu huu na tunaweza vipi kupambana kutwaa mataji," ni maneno ya makamu huyo akiwa kama ameipiga stop katika mbio zake za kumtwaa mchezaji huyo.

Unataka kumuona zaidi Bernardo Silva na uwezo wake? Usijali nimekuwekea video yake ingia kwenye faili la Video utaikuta, uone maajabu anayoyafanya.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.