Chelsea FC inawatakia sikukuu ya Valentine kwa wale wote wanaoipenda au kuichukia Chelsea, au kwa wale wapenda michezo na wale wote wasiopenda soka.
Tarehe ya leo 14-February
>Katika historia
Siku kama ya leo ndio tulishinda mchezo wetu wa kwanza katika kombe la Ueropa cup, ambapo Chelsea ilicheza dhidi ya Sparta Prague ambapo Chelsea walishinda kwa goli la Oscar Emboaba. Na msimu huohuo tukafanikiwa kutwaa taji hilo.
>Mechi ya robo fainali
Wakati tukiendelea kufurahi timu ya vijana wa Chelsea watamenyana na vijana wa Leicester city katika robo fainali ya FA.
Sisi kama mashabiki wa Chelsea tunawatakia heri ya Valentine....
No comments:
Post a Comment