Monday, 13 February 2017

Bakayoko kuwafungulia mlango Chelsea

Chelsea ni kama wameongezewa gia katika juhudi zao za kuendelea kumshawishi kiungo mkabaji wa Monaco ya Ufaransa, Tiemoue Bakayoko mwenye umri wa miaka 22.

Bakayoko amekuwa akizivutia timu mbalimbali hasa zile za Uingereza ikiwemo Chelsea, na usajili wake ni kama umeongezewa mafuta baada ya mchezaji huyo kugoma kuongeza mkataba na miamba hiyo ya Ufaransa.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.