Friday, 3 March 2017

Chelsea kucheza ndani ya Singapore

Uongozi wa Chelsea unajiandaa kuthibitisha kama itashiriki katika kombe la International Champions Cup (ICC) baada ya msimu kuisha.

Chelsea inatarajiwa kutangaza kushiriki mashindano hayo ili kutumia kwa ajili ya kujiandaa na msimu wa 2017-2018.

Mashindano hayo yamepangwa kuchezeka katika uwanja wa taifa wa Singapore.

Wakati huo huo wa maandalizi ya mapumziko wa ligi kuu Uingereza imepangwa Chelsea kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kwa timu za ligi ya Uingereza kucheza mchezo wa kirafiki nje ya United Kingdom au UK.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.