Antonio Conte amekanusha taarifa zake na mpaka sasa kikubwa anachokisubiri atolee maelezo kamili kuhusu tuhuma au uvumi uliosambazwa na moja ya mtandao kwamba ye ataenda Inter Milan na tayari viongozi wa Inter Milan wanafanya mawasiliano na Abramovic ambaye ni mmiliki wa timu ili kuuvunja mkataba huo jambo ambalo Conte amesema sio kweli na atalitolea ufafanuzi zaidi akikutana na waandishi wa habari kabla ya mchezo dhidi ya West Ham siku ya jumatatu ya tarehe 06-March.
No comments:
Post a Comment