Thursday 9 February 2017

Soka ni kuweza kukimbia tu

Mhispania ambaye anaichezea Chelsea kwa sasa, Cesc Fabregas amezungumzia nafasi yake ndani ya kikosi cha kwanza
"siku hizi mpira umekuwa wa tofauti kabisa, sio kama vile mi nilivyokuwa najua ama kuzani mwanzo. Mpira wa siku hizi umekuwa hauangalii kipaji cha mtu, lakini umekuwa unaangalia mtu anakimbia vipi na anakabaje kwa nguvu"

"nami kwangu nachukulia kama changamoto maana mimi sina kasi na wala siwezi kutumia nguvu, itabidi nivifanye vyote hivyo ili niweze kupata nafasi"

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.