Wednesday, 15 February 2017

Marcos Alonso akiisifia Chelsea

Moja kati ya wachezaji bora kwa sasa ndani ya Chelsea basi Marcos Alonso ni mmoja wao. Marcos Alonso ambae anacheza nafasi ya winga wa kushoto katika mfumo 3-4-3 na amekuwa akisifika kwa kiwango chake.

Marcos Alonso alipohojiwa na kuulizwa kuhusu maisha ya Chelsea alijibu
"kuwa Chelsea ni jambo bora sana, mara nyingi huwa nafurahia kwa mfumo tuliojipangia wa kukutana kwa mwezi mara moja kwa timu nzima na kula chakula kwa pamoja na kufurahi kama timu"

Marcos Alonso ambaye ni raia wa Hispania alisajiliwa akitokea timu ya Fiorentina lakini pia kama haujajua Marcos Alonso alishawai kuichezea Bolton Wanderers timu ambayo pia Gary Cahill aliichezea kabla ya kuja Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.