Monday 13 February 2017

David kwenye sindano

Wiki ijayo siku ya tarehe 18-February-2017 timu ya Chelsea itasafiri kuelekea katika pambano la kombe la FA dhidi ya Wolves. Lakini katika safari hiyo ya kuelekea uko katika pambano hilo kuna uwezekano mdogo sanaaa kwa David Luiz kuongozana na timu hiyo maana atakumbana na mkasi wa daktari katika matibabu yake ya maumivu ya paja.

Je unataka nani azibe nafasi ya David Luiz siku hiyo ya sabato? Je ni mkongwe John Terry? au beki matata Kurt Zouma? au akakae kinda wa kikabulu Nathan Ake?

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.