Friday 10 February 2017

Chelsea ya mapinduzi

Msimu wa 2014-2015 ndio ulikuwa msimu wa mwisho wa mkataba kati ya Chelsea na mdhamini wake mkuu wa muda huo Samsung na mdhamini mwengine wa kampuni ya Yokohama tyres ikachukua nafasi.

Lakini tena msimu huu ndio msimu wa mwisho wa kampuni ya vifaa vya michezo, Adidas kutengeneza vifaa vya michezo kwa Chelsea ambapo kampuni ya Nike itashika hatamu. Na tayari jersey mpya zitakazotengenezwa na kampuni hiyo sampuli yake ishatolewa.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.