Moja kati ya mabeki bora kuwai kutokea Chelsea basi Ricardo Carvalho atakuwa Ricardo Carvalho ambaye ni raia wa Ureno au wazungu wanapaita Portugal.
Ricardo Carvalho ambaye baada ya kutoka Chelsea alijiunga na mabingwa wa kihistoria wa kombe la klabu bingwa ya ulaya maarufu kama Uefa champions league, Real Madrid, mchana wa leo ametangazwa kujiunga na wababe wa China timu ya Shanghai SIPG.
No comments:
Post a Comment