Showing posts with label Management. Show all posts
Showing posts with label Management. Show all posts

Wednesday, 28 September 2016

Steve Holland kuinoa timu ya taifa ya uingereza.

Kocha msaidizi wa chelsea steve holland anataajiwa kujiunga na southgate katika kibarua cha kuinoa timu ya taifa ya uingereza.

Wawili hao wanatarajiwa kujiunga kuinoa timu hiyo baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuachia ngazi.

Southgate na Holland watakinoa kikos hicho katika mechi nne zijazo.

Tuesday, 27 September 2016

Mambo matamu Abramovic na conte

Gazeti la times linaeleza kuwa mmiliki wa klabu ya chelsea bilionea wa kirusi Roman abramovic ametembelea kiwanja cha mazoezi Cobham na kuangalia jinsi mazoezi yanavyoenda.

Bilionea alikaa na vijana na kujionea jinsi wananvyo fanya mazoezi na wapi panahitaji marekebisho

Baada ya hapo abramovic alienda kupata lunch pamoja na meneja conte ili kuonesh sapoti yake na kuthibitisha ukaribu wao

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.